Friday, November 6, 2009

siasa ni kinyume cha ukweli.

wapo wasemao siasa ni "SI HASA" Si hasa kile ukionacho au ukisemacho bali kile ukipatacho, hakuna aliyeingia katika siasa akiwa na lengo hasa la mabadiliko. wengi ni kwa maslahi binafsi kwa visingizio vya uchungu na nchi yao, lakini ni kinyume cha ukweli.